(Music)
(Muziki)
Sophie Hawley-Weld: OK, you don't have to stand up, but ... we can see you really clearly --
Sophie Hawley-Weld: Sawa huhitaji kusimama lakini... tunaweza kuwaona vizuri kabisa --
(Laughter)
(Kicheko)
So you have to dance with us. And we have this, like, choreographed dance thing that we're about to do --
Kwa hiyo mcheze nasi. Na tuna hii, kama, Uchezaji maalum tunaokwenda kuufanya
Betta Lemme: Really easy.
Betta Lemme: Rahisi sana.
SHW: And we're going to flick our wrists like this, and you're going to do it with us. And you can also stand up.
SHW: Na tutapunga viganja vyetu namna hii, na mtafanya pamoja nasi. Na pia mnaweza kusimama.
(Music)
(Muziki)
(Sings) I know I did not raise a wrist
(Anaimba) Najua sikunyanyua kiganja
(Both sing) I know I did not capture it
(Wote wanaimba) Najua sikuikamata
It came, it came, it went, it went
Ilikuja, ilikuja Ikaenda, ikaenda
It conquered quick
Iliteka haraka
I was there and then I quit
Nilikuwa pale na kisha nikaacha
Awoo!
Awoo!
I know I did not raise a wrist
Najua sikunyanyua kiganja
I know I did not capture it
Najua sikuikamata
It came, it came, it went, it went
Ilikuja, ilikuja, Ikaenda, ikaenda
It conquered quick
Iliteka haraka
I was there and then I quit
Nilikuwa pale na kisha nikaacha
Awoo!
Awoo!
BL: (Speaks) There you go!
BL: (Anaongea) Hapo unaona!
(Music)
(Muziki)
SHW: We have another one coming up. It's a little finger-pointing dance.
SHW: Tunayo nyingine inakuja. Ni uchezaji wa kuelekeza kidole
(Music)
(Muziki)
The people sitting down, I want to see your fingers pointing. Yeah!
Watu waliokaa chini, Nataka kuona mkielekeza vidole vyenu. Ndiyo!
(Sings) I know I did not raise a wrist
(Anaimba) Najua sikunyanyua kiganja
(Both sing) I know I did not capture it It came, it came, it went, it went
(Wote wanaimba) Najua sikuikamata Ilikuja, ilikuja. Ikaenda, ikaenda
It conquered quick
Iliteka haraka
I was there and then I quit
Nilikuwa pale kisha nikaacha
Aaaa ...
Aaaa ...
(Applause)
(Makofi)
Awoo!
Awoo!
(Music)
(Muziki)
(Clapping to the beat)
(Makofi yanapigwa kuendana na mdundo)
(Music)
(Muziki)
Aaaa ...
Aaaa...
SHW: (Speaks) Alright, hand flick.
SHW: (Anaongea) Sawa, chezesha mkono.
(Both sing) I know I did not raise a wrist
(Wote wanaimba) Najua sikunyanyua kiganja
I know I did not capture it
Najua sikuikamata
It came, it came, it went, it went
Ilikuja, ilikuja, Ikaenda, ikaenda
It conquered quick
Iliteka haraka
I was there and then I quit
Nilikuwa pale kisha nikaacha
I know I did not raise a wrist
Najua sikunyanyua kiganja
I know I did not capture it
Najua sikuikamata
It came, it came, it went, it went
Ilikuja, ilikuja, ikaenda, ikaenda
It conquered quick I was there and then I quit
Iliteka haraka Nilikuwa pale kisha nikaacha
(Music)
(Muziki)
Tucker Halpern: You guys are way more fun than I thought you'd be.
Tucker Halpern: Nyie majamaa mnafurahisha sana kuliko nilivyodhani mtakuwa.
(Laughter)
(Kicheko)
(Music)
(Muziki)
Awoo!
Awoo!
(Applause)
(Makofi)
SHW: Thank you so much.
SHW: Asanteni sana.
(Applause)
(Makofi)