What you're doing, right now, at this very moment, is killing you. More than cars or the Internet or even that little mobile device we keep talking about, the technology you're using the most almost every day is this, your tush. Nowadays people are sitting 9.3 hours a day, which is more than we're sleeping, at 7.7 hours. Sitting is so incredibly prevalent, we don't even question how much we're doing it, and because everyone else is doing it, it doesn't even occur to us that it's not okay. In that way, sitting has become the smoking of our generation.
Unachofanya sasa hivi,wakati huu, kuna kitu kinakuua. Zaidi ya magari au mtandaoni au hata simu za mikononi ambazo huwa tunaziongelea teknolojia unayoitumia zaidi kila siku ni hii, makalio yako. Siku hizi watu wanakaa kwa wastani wa masaa 9.3 kwa siku, muda ambao ni zaidi ya ule tunaolala wa masaa 7.7. Kukaa imekuwa ni jambo la kawaida mno kiasi hatujiulizi,kuhusu muda mingi tunaotumia kukaa, na kwa kuwa kila mmoja wetu anafanya hivyo, hatuoni kuwa kufanya hivyo si sahihi. namna hii,kukaa kumekuwa uvutaji wa sigara wa kizazi chetu.
Of course there's health consequences to this, scary ones, besides the waist. Things like breast cancer and colon cancer are directly tied to our lack of physical [activity], Ten percent in fact, on both of those. Six percent for heart disease, seven percent for type 2 diabetes, which is what my father died of. Now, any of those stats should convince each of us to get off our duff more, but if you're anything like me, it won't.
na ukweli ni kuwa kuna madhara ya kiafya, ya kutisha,ukiondoa kiuno. vitu kama kansa ya matiti na utumbo mpana yanhusishwa na ukosefu wa mazoezi, asilimia kumi, katika zote hizo. asilimia sita kwa ajili ugonjwa wa moyo, asilimia saba kwa ajili ya kisukari namba 2, ambacho ndicho baba yangu alichokufa nacho. takwimu hizi zinatakiwa zitushawishi kuinuka zaidi, lakini ukiwa kama, hazitakushawishi.
What did get me moving was a social interaction. Someone invited me to a meeting, but couldn't manage to fit me in to a regular sort of conference room meeting, and said, "I have to walk my dogs tomorrow. Could you come then?" It seemed kind of odd to do, and actually, that first meeting, I remember thinking, "I have to be the one to ask the next question," because I knew I was going to huff and puff during this conversation. And yet, I've taken that idea and made it my own. So instead of going to coffee meetings or fluorescent-lit conference room meetings, I ask people to go on a walking meeting, to the tune of 20 to 30 miles a week. It's changed my life.
kilichonifanya niinuke ilikuwa ni mahusiano ya kijamii. Mtu mmoja alinialika katika kikao, lakini hakuweza kunipatia nafasi katika chumba cha kawaida cha mikutano, na akasema, "kesho nitafanya matembezi na mbwa wangu. Je unaweza kuja?" ilionekana kama ni kitu cha ajabu kufanya, na katika kikao hiki cha kwanza, nakumbuka niliwaza, "itabidi niwe wa kwanza kuuliza swali la kwanza kwa sababu nilijua nitakuwa napumua sana wakati wa mazungumzo haya. lakini sasa,nimechukua wazo na limekuwa langu. kwa hiyo baada ya kwenda katika vikao vya kahawa au vyumba vya mikutano, nawaomba watu twende katika mikutano ya kutembea, kufikia umbali wa maili 20 hadi 30 kwa wiki. imebadilisha maisha yangu.
But before that, what actually happened was, I used to think about it as, you could take care of your health, or you could take care of obligations, and one always came at the cost of the other. So now, several hundred of these walking meetings later, I've learned a few things.
lakini kabla, kilichotokea ilikuwa ni, nafikiri kama hivi, unaweza ukaangalia afya yako, au kuangalia majukumu yako, na moja lazima lichukue nafasi ya jingine. lakini sasa, baada ya mamia ya maili za vikao hivi vya kutembea, nimejifunza vitu kadhaa.
First, there's this amazing thing about actually getting out of the box that leads to out-of-the-box thinking. Whether it's nature or the exercise itself, it certainly works.
Kwanza, kuna kitu hiki cha ajabu kuhusu kutoka katika mazoea, kunakosababisha usiwe na mawazo ya mazoea. kama ni mazingira au mazoezi ,lakini inafanya kazi.
And second, and probably the more reflective one, is just about how much each of us can hold problems in opposition when they're really not that way. And if we're going to solve problems and look at the world really differently, whether it's in governance or business or environmental issues, job creation, maybe we can think about how to reframe those problems as having both things be true. Because it was when that happened with this walk-and-talk idea that things became doable and sustainable and viable.
Na pili, na labda muhimu zaidi, ni jinsi ambavyo kila mtu, wakastahimili matatizo hata kama hawako hivyo. na kama tutatua matatizo na kuiangalia dunia, kama ni katika utawala au biashara au mambo ya mazingira,utengenezaji wa ajira, labda tunaweza tukafikiri jinsi ya kuyaangalia upya matatizo haya. ili vitu vyote viwe sahihi. kwa sababu ilikuwa hivyo kuhusu wazo hili la kuongea na kutembea kwamba vitu vinaeza kufanyika na vikadumu.
So I started this talk talking about the tush, so I'll end with the bottom line, which is, walk and talk. Walk the talk. You'll be surprised at how fresh air drives fresh thinking, and in the way that you do, you'll bring into your life an entirely new set of ideas.
nilianza mazungumzo haya nikiongelea kuhus makalio, kwa hiyo nitamalizia kwa kusema tembea na ongea. tembea na ongea. utashangaa jinsi ambavyo hewa safi inasababisha mazungumzo safi, na katika hali hii, utaleta mawazo mapya katika maisha yako.
Thank you.
Asante.
(Applause)
(Makofi)