Imagine waking up to a stranger -- sometimes multiple strangers -- questioning your right to existence for something that you wrote online, waking up to an angry message, scared and worried for your safety. Welcome to the world of cyberharassment.
Fikiria kuamka ukapata mgeni usiyemfahamu wakati mwingine wageni wengi usiowafahamu wanaohoji haki yako ya kuishi kwa kitu ulichoandika kwa mtandao kuamkia ujumbe wa hasira ukiogopa na kuhofia usalama wako. Karibu katika ulimwengu wa unyanyasaji wa mtandaoni.
The kind of harassment that women face in Pakistan is very serious and leads to sometimes deadly outcomes. This kind of harassment keeps women from accessing the internet -- essentially, knowledge. It's a form of oppression.
Aina ya unyanyasaji ambao wanawake wanakabiliana nao Pakistani ni mbaya sana na wakati mwengine unasababisha maafa makali. Unyanyasaji wa aina hii unawazuia wanawake kutumia mtandao hasa ujuzi. Ni aina ya ukandamizaji
Pakistan is the sixth most populous country in the world, with 140 million people having access to mobile technologies, and 15 percent internet penetration. And this number doesn't seem to go down with the rise of new technologies. Pakistan is also the birthplace of the youngest Nobel Peace Prize winner, Malala Yousafzai. But that's just one aspect of Pakistan. Another aspect is where the twisted concept of honor is linked to women and their bodies; where men are allowed to disrespect women and even kill them sometimes in the name of so-called "family honor"; where women are left to die right outside their houses for speaking to a man on a mobile phone, in the name of "family honor." Let me say this very clearly: it's not honor; it's a cold-blooded murder.
Pakistani ni taifa la sita ulimwenguni kwa wingi wa idadi ya watu na watu milioni 140 wenye uwezo wa kutumia teknolojia ya simu, na asilimia 15 ya upenyo wa mtandao. Na idadi hii haionekani kukpunguka na mwamko wa teknolojia. Pakistani pia ndilo taifa la kuzaliwa kwa mtu kijana kabisa kuwahi kushinda tuzo la Nobel Malala Yousafzai Lakini hicho ni kipengele kimoja tu cha Pakistani. Kipengle kingine ni dhana iliyopotoka ya heshima inayohusishwa na wanawake na miili yao; pahali ambapo wanaume wanakubaliwa kutowaheshimu wanawake na wakati mwingi ata kuwaua wakisinzia ni "heshima ya familia"; pahali ambapo wanawake wanaachwa wafe nje ya manyumba yao kwa sababu ya kuzungumza na mwanaume kwa rununu wakisinzia ni "heshima ya familia." Wacha niseme hivi bayana: siyo heshima; hayo ni mauaji.
I come from a very small village in Punjab, Pakistan, where women are not allowed to pursue their higher education. The elders of my extended family didn't allow their women to pursue their higher education or their professional careers. However, unlike the other male guardians of my family, my father was one who really supported my ambitions. To get my law degree, of course, it was really difficult, and [there were] frowns of disapproval. But in the end, I knew it's either me or them, and I chose myself.
Mimi natokea kijiji kidogo sana pale Punjab, Pakistani pahali ambapo wanawake hawaruhusiwi kuendelea na masomo ya juu. Wakubwa wa jamaa yangu hawakuwaruhusu wanawake wao waendelee na masomo ya juu ama taaluma zao. Hata hivyo, tofauti na walezi waume wengine wa familia yangu, baba yangu ndiye aliye aliniunga mkono katika jitihada zangu za kupata shahada ya uana sheria. Bila shaka ilikuwa vigumu na kulikuwa na manunguniko ya kutoridhika. Lakini mwishowe nilijua ni mimi ama wao, na nikachagua mimi
(Applause)
(Makofi)
My family's traditions and expectations for a woman wouldn't allow me to own a mobile phone until I was married. And even when I was married, this tool became a tool for my own surveillance. When I resisted this idea of being surveilled by my ex-husband, he really didn't approve of this and threw me out of his house, along with my six-month-old son, Abdullah. And that was the time when I first asked myself, "Why? Why are women not allowed to enjoy the same equal rights enshrined in our Constitution? While the law states that a woman has the same equal access to the information, why is it always men -- brothers, fathers and husbands -- who are granting these rights to us, effectively making the law irrelevant?"
Mila ya familia yangu na matarajio ya mwanamke hayangeniruhusu nimiliki rununu mpaka kuolewa. Na ata nilpoolewa, kifaa hiki kikawa kifaa cha ufuatiliaji wangu. Nilipokataa haya mafikira ya kufuatiliwa na mume wangu wa zamani, hakukubalina na wazo hilo na akanifurusha kutoka nyumbani, pamoja na mtoto wangu wa kiume wa miezi sita, Abdullah. Na hapo ndipo nilipojiuliza mara ya kwanza, "Mbona? Mbona wanawake hawaruhusiwi kufurahia haki sawa na wanaume kama ilivyo katika katiba yetu? Ilhali sheria inasema ya kuwa mwanamke ana haki sawia kwa taarifa mbona huwa ni wanaume mandugu, mababa na mabwana, ndio wanaoturuzukia haki hizi kwa hiyo kuifanya sheria kuwa bila maana?" Kwa hiyo nikaamua kuchukua hatua,
So I decided to take a step, instead of keep questioning these patriarchal structures and societal norms. And I founded the Digital Rights Foundation in 2012 to address all the issues and women's experiences in online spaces and cyberharassment. From lobbying for free and safe internet to convincing young women that access to the safe internet is their fundamental, basic, human right, I'm trying to play my part in igniting the spark to address the questions that have bothered me all these years.
badala ya kuendelea kunungunikia hizi misingi na tamaduni Na nikaanzisha mwaka 2012 Digital Rights Foundation ili kushughulikia matatizo yanayowakumba wanawake katika mtandao na unyanyasaji katika mtandao. Kutoka kushawishia mtandao bure na salama kuwashawishi wanawake utumizi wa mtandao salama ni haki yao ya kimsingi Najaribu tetekeleza majumu yangu kwa kuanzisha msuko ili kuyajibu maswali ambayo yamekuwa yakinitatiza hii miaka yote Na matumaini moyoni mwangu,
With a hope in my heart, and to offer a solution to this menace, I started Pakistan's and the region's first cyberharassment help line in December 2016 --
na kupeana suluhisho katika janga hili, nilianzisha msaada wa usaidizi wa kwanza Pakistani na katika eneo Decemba 2016-- (Makofi)
(Applause)
kunyosha mkona wa usaidizi kwa wanawake wasiojua wamkimbilie nani
to extend my support to the women who do not know who to turn to when they face serious threats online. I think of the women who do not have the necessary support to deal with the mental trauma when they feel unsafe in online spaces, and they go about their daily activities, thinking that there is a rape threat in their in-box.
wanapokabiliana na tishio kkubwa mtandaoni. Nawafikiria wanawake wasiokuwa na usaidizi unaohitajika kukabiliana na shida ya kili wanapojihisi hawako salama katika mtandao, na wakiendelea na shughuli zao za kila siku, wakidhani kuwa kuna tishio la ubakaji katika ujumbe wao. Kuweza
Safe access to the internet is an access to knowledge, and knowledge is freedom. When I fight for women's digital rights, I'm fighting for equality.
na elimu ni uhuru. Ninapopigania haki z Ninapopigania maslahi ya wanawake ya kidijitali Ninaapigania usawa
Thank you.
Asanteni
(Applause)
(Makofi)