If you're here today -- and I'm very happy that you are -- you've all heard about how sustainable development will save us from ourselves. However, when we're not at TED, we are often told that a real sustainability policy agenda is just not feasible, especially in large urban areas like New York City. And that's because most people with decision-making powers, in both the public and the private sector, really don't feel as though they're in danger.
Iwapo uko hapa leo -- nina furaha sana kwakuwa uko hapa -- wote mmesikia kuhusu maendeleo endelevu yatatuokoa kutoka kwetu wenyewe. Lakini sisi hatuko TED, mara nyingi tunaambiwa kuwa ajenda ya sera ya maendeleo halisi si jambo linalowezekana, hasa katika miji mikubwa kama New York. Na mara nyingi ni kwa sababu watu wengi wenye uwezo wa kutoa maamuzi, katika sekta za umma na binafsi, hawaoni kama wako kwenye hatari.
The reason why I'm here today, in part, is because of a dog -- an abandoned puppy I found back in the rain, back in 1998. She turned out to be a much bigger dog than I'd anticipated. When she came into my life, we were fighting against a huge waste facility planned for the East River waterfront despite the fact that our small part of New York City already handled more than 40 percent of the entire city's commercial waste: a sewage treatment pelletizing plant, a sewage sludge plant, four power plants, the world's largest food-distribution center, as well as other industries that bring more than 60,000 diesel truck trips to the area each week. The area also has one of the lowest ratios of parks to people in the city.
Sababu ya kuwa hapa leo, pia, ni kwasababu ya mbwa: mtoto wa mbwa niliyemuokota kwenye mvua, mwaka 1998. Alikuja kuwa mbwa mkubwa zaidi ya nilivyotegemea. Wakati alipokuja kwenye maisha yangu, tulikuwa tunapinga sehemu kubwa ya jalala ambalo lilikuwa limepangwa kwa ajili ya ufukwe wa East River, pamoja na ukweli kwamba sehemu yetu ndogo ya jiji la New York tayari lilikuwa linapokea zaidi ya asilimia 40 ya uchafu wote unaotokana na shughuli za jiji. Sehemu ya kusafishia maji machafu, sehemu ya mafuta machafu, sehemu nne za umeme, sehemu kubwa kuliko zote duniani ya kusambaza chakula, pamoja na viwanda vingine ambavyo vinaingiza zaidi ya malori ya dizeli 60,000 katika sehemu hii kwa wiki. Eneo hili pia lina uwiano mdogo wa bustani za kupumzikia kwa ajili ya watu katika mji huu.
So when I was contacted by the Parks Department about a $10,000 seed-grant initiative to help develop waterfront projects, I thought they were really well-meaning, but a bit naive. I'd lived in this area all my life, and you could not get to the river, because of all the lovely facilities that I mentioned earlier. Then, while jogging with my dog one morning, she pulled me into what I thought was just another illegal dump. There were weeds and piles of garbage and other stuff that I won't mention here, but she kept dragging me, and lo and behold, at the end of that lot was the river. I knew that this forgotten little street-end, abandoned like the dog that brought me there, was worth saving. And I knew it would grow to become the proud beginnings of the community-led revitalization of the new South Bronx.
Kwa hiyo nilipofuatwa na kitengo cha bustani za kupumzikia karibu dola 10,000 za utekelezaji kusaidia kuendeleza miradi ya pwani. Nilifikiri walikuwa na heri, lakini hawajui kitu. Nimeishi eneo hili maisha yangu yote, na ulikuwa huwezi kufika mtoni kwasababu ya miundo mbinu ambayo niliyokwisha iongelea mwanzoni. Halafu, wakati nilipokuwa nakimbia na mbwa wangu asubuhi moja, alinivuta kwenye dampo ambalo nilifikiri kuwa liko hapo kimakosa. Kulikuwa na mizizi na rundo la uchafu na vitu vingine ambavyo sitavitaja hapa, aliendelea kunivutia kule -- na lo na tazama, mwishoni wa rundo lile kulikuwa na mto. Nilijua kuwa huu mtaa mdogo uliosahauliwa, uliotupwa kama mbwa wangu aliyenileta hapaleo, ulikuwa na haki ya kusaidiwa. Na nilijua kuwa utakuja kuwa mwanzo wa kujivunia wa ufufuaji unaoendeshwa na jumuia mpya ya Bronx kusini. Na kama ilivyo kwa mbwa wangu mpya, lilikuwa ni wazo ambalo lilikuwa zaidi ya nilivyofikiria.
And just like my new dog, it was an idea that got bigger than I'd imagined. We garnered much support along the way, and the Hunts Point Riverside Park became the first waterfront park that the South Bronx had had in more than 60 years. We leveraged that $10,000 seed grant more than 300 times, into a $3 million park.
Tulipata msaada sana katika kuendeleza. Na bustani ya Hunts Point Riverside ilikuwa bustani ya pwani ya kwanza ambayo Bronx kusini ilikuwa nayo zaidi ya miaka 60. Tuliwezesha msaada wa dola 10,00 zaidi ya mara 300 kufikia bustani ya dola milioni 3. Na wakati wa majira ya kupukutika majani, --
And in the fall, I'm going to exchange marriage vows with my beloved.
Nitafunga ndoa na mpenzi wangu. Asante sana (Makofi).
(Audience whistles)
Thank you very much.
(Applause)
Ndio huyo hapo nyuma anayebonyeza kitufe, na hufanya hivyo mara zote.
That's him pressing my buttons back there, which he does all the time.
(Laughter)
(Kicheko). (Makofi).
(Applause)
But those of us living in environmental justice communities are the canary in the coal mine. We feel the problems right now, and have for some time. Environmental justice, for those of you who may not be familiar with the term, goes something like this: no community should be saddled with more environmental burdens and less environmental benefits than any other.
Lakini kwa sisi tunaoishi kwenye jumuia zinazojali mazingira ni canary katika machimbo ya makaa ya mawe. Tunayaona matatizo hayo sasa, na tumekuwa tukiyaona kitambo. Haki ya mazingira, kwa wale wanaoujua msemo huu, unasema kama hivi jumuia yeyote isibebeshwe mzigo wa mazingira na faida chache za mazingira kuliko nyinginge. Kwa bahati mbaya rangi ya ngozi na class ni vielelezo vinavyonekana
Unfortunately, race and class are extremely reliable indicators as to where one might find the good stuff, like parks and trees, and where one might find the bad stuff, like power plants and waste facilities. As a black person in America, I am twice as likely as a white person to live in an area where air pollution poses the greatest risk to my health. I am five times more likely to live within walking distance of a power plant or chemical facility, which I do. These land-use decisions created the hostile conditions that lead to problems like obesity, diabetes and asthma. Why would someone leave their home to go for a brisk walk in a toxic neighborhood? Our 27 percent obesity rate is high even for this country, and diabetes comes with it. One out of four South Bronx children has asthma. Our asthma hospitalization rate is seven times higher than the national average. These impacts are coming everyone's way. And we all pay dearly for solid waste costs, health problems associated with pollution and more odiously, the cost of imprisoning our young black and Latino men, who possess untold amounts of untapped potential. Fifty percent of our residents live at or below the poverty line; 25 percent of us are unemployed. Low-income citizens often use emergency-room visits as primary care. This comes at a high cost to taxpayers and produces no proportional benefits. Poor people are not only still poor, they are still unhealthy.
katika kupata vitu vizuri kama bustani za kuumzikia na miti, na mahali ambapo mtu anaweza kupata vitu vibaya, kama mitambo na sehemu za kutupia uchafu. Kama mtu mweusi nchini Marekani, nina uwezekano mara mbili kama mtu mweupe kuishi kwenye eneo ambalo uchafuzi wa hali ya hewa unaweza kuhatarisha afya yangu. Nina uwezekano mara tano wa kuishi karibu na mtambo au sehemu inayotoa kemikali hatari -- ndiko ninakoishi. Haya maamuzi ya matumizi ya ardhi yametengeneza mazingira mabovu ambayo yanaleta matatizo kama ubwanyenye, kisukari na pumu. Nani anaweza kuondoka nyumbani kwake kutembea kwenye sehemu yenye kemikali za uchafu? Uwiano wetu wa ubwanyenye wa asilimia 27 ni mkubwa sana, hata kwa nchi hii, na kisukari kinakuja pamoja nayo. Mmoja kati ya watoto wanne wa Bronx kusini ana pumu. Uwiano wa watoto wanaolazwa kwa ajili ya pumu ni mkubwa mara saba zaidi ya asilimia ya nchi nzima. Matokeo haya yanakuja kwa njia tofauti. Na tunapata matatizo sana kwa ajili ya gharama za uchafu mgumu, matatizo ya afya yanayotokana na uchafuzi na kunuka zaidi, gharama ya kuwafunga vijana wetu weusi na wanaume wa kilatino, ambao wanauwezo mkubwa usioelezeka na ambao haujatumiwa ipasavyo. Asilimia 50 ya wakazi wetu wanaishi chini ya mstari wa umaskini. Asilimi 25 kati yetu hatuna kazi. Wananchi wanaopata kipato kidogo mara nyingi wanatumia vyumba vya dharura kama msingi. Hii inawaumiza walipa kodi na haitoi faida zilizosawa. Watu maskini sio tuu bado ni maskini, bado wana afya mbaya.
Fortunately, there are many people like me who are striving for solutions that won't compromise the lives of low-income communities of color in the short term, and won't destroy us all in the long term. None of us want that, and we all have that in common. So what else do we have in common?
Kwa bahatio nzuri, kuna watu wengi kama mimi ambao wanataka kupata ufumbuzi ambao hautasumbua maisha ya jamii yenye kipato kidogo ya watu wa rangi kwa muda mfupi, na haitatuvuruga wote katika kipindi kirefu kijacho. Wote hatutaki hivyo, na wote tuna jambo linalofanana. Kwa hiyo tuna kitu gani kingine kinachofanana? Kwanza, sote hapa tuna sura nzuri --
Well, first of all, we're all incredibly good-looking.
(Kicheko)-- tumemaliza sekondari, chuo, shahada za uzamili,
(Laughter)
Graduated high school, college, post-graduate degrees, traveled to interesting places, didn't have kids in your early teens, financially stable, never been imprisoned. OK. Good.
tumesafiri sehemu zinazovutia, hatukupata watoto katika umri mdogo, kipato chetu ni kizuri, hatujawahi kufungwa. Sawa. Vizuri. (Kicheko).
(Laughter)
Lakini, pamoja na kuwa mwanamke mweusi, niko tofauti na wengi wenu katika njia nyingine.
But, besides being a black woman, I am different from most of you in some other ways. I watched nearly half of the buildings in my neighborhood burn down. My big brother Lenny fought in Vietnam, only to be gunned down a few blocks from our home. Jesus. I grew up with a crack house across the street. Yeah, I'm a poor black child from the ghetto. These things make me different from you. But the things we have in common set me apart from most of the people in my community, and I am in between these two worlds with enough of my heart to fight for justice in the other.
Niliangalia karibu nusu ya majengo ya mtaani kwetu yakiungua. Kaka yangu mkubwa Lenny alipigana vita ya Vietnam, lakini aliuawa hatua chache kutoka nyumbani kwetu. Yesu. Nilikulia katika mtaa ambao ilikuwa mkabala na nyumba ya wavuta madawa ya kulevya. Ndio, mimi ni mtoto mweusi maskini kutoka geto. Vitu hivi vinanifanya niwe tofauti nanyi. Lakini vitu ambavyo tumefanana vinanitofautisha na watu wengi katika jumia yangu, na niko katika dunia hizi mbili, na moyo wangu wa kutosha wa kupigania haki katika jamii yangu. Kwa hiyo ni jinsi gani vitu vimekuwa tofauti kwetu?
So how did things get so different for us? In the late '40s, my dad -- a Pullman porter, son of a slave -- bought a house in the Hunts Point section of the South Bronx, and a few years later, he married my mom. At the time, the community was a mostly white, working-class neighborhood. My dad was not alone. And as others like him pursued their own version of the American dream, white flight became common in the South Bronx and in many cities around the country. Red-lining was used by banks, wherein certain sections of the city, including ours, were deemed off-limits to any sort of investment. Many landlords believed it was more profitable to torch their buildings and collect insurance money rather than to sell under those conditions -- dead or injured former tenants notwithstanding.
Mwishoni mwa miaka ya 40s, baba yangu - mpagazi wa Pullman, mtoto wa mtumwa - alinunua nyumba huko Hunts Point sehemu ya Bronx Kusini, na miaka michache baadaye alimuoa mama yangu. Kwa miaka hiyo, wengi wa wanajumuia hiyo walikuwa wazungu, jumuia ya wafanyakazi. Baba yangu hakuwa peke yake. Na wengine kama yeye waliifata ndoto ya Marekani kwa jinsi wajuavyo wao, white flight ilikuwa kitu cha kawaida katika Bronx ya Kusini na miji mingine nchini. Red-lining ilikuwa inatumiwa na mabenki, katika baadhi ya maeneo ya jijini, ikiwa pamoja na kwetu, ilikuwa haijapewa kipaumbele kwa uwekezaji wa aina yeyote ile. Wenye nyumba wengi waliona ni faida zaidi kuchoma moto majengo yao na kupata hela za bima kuliko kuyauza yakiwa katika hali nzuri - bila kujali wapangaji wao kama wamekufa au kujeruhiwa. Hunts Point ilikuwa ni jumuia iliyokuwa karibu na sehemu za kazi,
Hunts Point was formerly a walk-to-work community, but now residents had neither work nor home to walk to. A national highway construction boom was added to our problems. In New York State, Robert Moses spearheaded an aggressive highway-expansion campaign. One of its primary goals was to make it easier for residents of wealthy communities in Westchester County to go to Manhattan. The South Bronx, which lies in between, did not stand a chance. Residents were often given less than a month's notice before their buildings were razed. 600,000 people were displaced. The common perception was that only pimps and pushers and prostitutes were from the South Bronx. And if you are told from your earliest days that nothing good is going to come from your community, that it's bad and ugly, how could it not reflect on you? So now, my family's property was worthless, save for that it was our home, and all we had. And luckily for me, that home and the love inside of it, along with help from teachers, mentors and friends along the way, was enough.
lakini sasa wakazi hawana kazi wala nyumba za kwenda. Ujenzi wa barabara kuu uliongezwa kwenye matatizo yetu. Katika jimbo la New York, Robert Moses alichochea kampeni ya upanuaji wa barabara kubwa. Moja ya lengo lake kuu ilikuwa ni kuwarahisishia wakazi wa jumuia za matajiri huko katika kaunti ya Westchester kwenda Manhattan. Bronx Kusini, ambayo iko katikati, haikuwa na jinsi. Wakazi wa huko walipewa notisi ya chini ya mwezi mmoja kabla majengo yao hayavunjwa. Watu 600,000 walikosa makazi. Fikira za watu zilikuwa kwamba makuwadi, wauza madawa ya kulevya na malaya walikuwa wanatoka Bronx Kusini. Na kama unaambiwa toka mwanzo kuwa hamna kitu kizuri kinaweza kutoka katika jamuia yako, hiyo ni mbaya sana, itakuwaje isiakisi kwako? Kwa hiyo, nyumba yetu ilikuwa haina thamani, zaidi ya hilo ilikuwa ni nyumba yetu na tuliitegemea. Na kwa bahati kwangu, nyumba ile ilikuwa na upendo ndani yake pamoja nam saada kutoka kwa walimu, mentors na marafiki muda wote.
Now, why is this story important? Because from a planning perspective, economic degradation begets environmental degradation, which begets social degradation. The disinvestment that began in the 1960s set the stage for all the environmental injustices that were to come. Antiquated zoning and land-use regulations are still used to this day to continue putting polluting facilities in my neighborhood. Are these factors taken into consideration when land-use policy is decided? What costs are associated with these decisions? And who pays? Who profits? Does anything justify what the local community goes through? This was "planning" -- in quotes -- that did not have our best interests in mind.
Sasa, kwanini hii hadithi ni muhimu? kwasababu ya mipango, kutetereka kwa uchumi kunasababisha uharibifu wa mazingira, ambao unasababisha mmomonyoko wa jamii. Kutokuwekeza kulikoanza miaka ya 1960 ndio kulikuwa msingi wa uharibifu wa mazingira ambao umekuja. Antiquated zoning na sheria za matumizi ya ardhi bado zinatumika mpaka leo kuendelea kuweka sehemu za uchafuzi wa mazingira katika maeneo yangu. Sababu hizi zinazingatiwa wakati sheria za ardhi zinapoamuliwa? Gharama ngapi zinahusiana na maamuzi haya? Na nani analipa? Nani anafaidika? Kuna kitu chochote kinachoonyesha matatizo ya jumuia? Hii ni "mipango" - katika mabano - ambayo haikuwa na manufaa kwetu katika fikra. Mara tulipogundua hilo, tuliamua kuwa ni muda muafaka wa kupanga mipango yetu.
Once we realized that, we decided it was time to do our own planning. That small park I told you about earlier was the first stage of building a Greenway movement in the South Bronx. I wrote a one-and-a-quarter-million dollar federal transportation grant to design the plan for a waterfront esplanade with dedicated on-street bike paths. Physical improvements help inform public policy regarding traffic safety, the placement of the waste and other facilities, which, if done properly, don't compromise a community's quality of life. They provide opportunities to be more physically active, as well as local economic development. Think bike shops, juice stands. We secured 20 million dollars to build first-phase projects. This is Lafayette Avenue -- and that's redesigned by Mathews Nielsen Landscape Architects. And once this path is constructed, it'll connect the South Bronx with more than 400 acres of Randall's Island Park. Right now we're separated by about 25 feet of water, but this link will change that.
Ile bustani ndogo ya mapumziko niliyowaelezea mwanzoni ilikuwa ndio hatua yetu ya kwanza ya kujenga a greenway movement katika Bronx ya Kusini. Niliandika moja na robo milioni federal transportation grant kusanifu mpango wa sehemu ya mapumziko ya ufukweni ambayo yana njia ya waendesha baiskeli Matengenezo yanasaidia kuhabarisha jamii kuhusu usalama barabarani, uwekaji wa uchafu na miundo mbinu mingine, ambayo kama itafanywa vizuri, haitahatarisha maisha ya wanajumuia. Inatoa fursa kwa jamii kujishughulisha, pamoja na maendeleo ya uchumi. Fikiria maduka ya baiskeli, viduka vya juisi. Tulipata dola milioni 20 za kuendeleza hatua ya kwanza miradi. Hapa ni Lafayette Avenue - na kama ilivyosanifiwa na wasanifu majengo wa Matthews-Nielsen. Na mara hii njia ikishajengwa, itaunganisha Bronx Kusini na zaidi ya ekari 400 za bustani ya mapumziko ya Randall's Island. Kwa sasa tunatenganishwa na karibu futi 25 za maji, lakini hiki kiunga kitabadilisha hayo. Jinsi tunavyotunza mazingira asilia, ndivyo tutakavyofaidika zaidi.
As we nurture the natural environment, its abundance will give us back even more. We run a project called the Bronx [Environmental] Stewardship Training, which provides job training in the fields of ecological restoration, so that folks from our community have the skills to compete for these well-paying jobs. Little by little, we're seeding the area with green-collar jobs -- and with people that have both a financial and personal stake in their environment. The Sheridan Expressway is an underutilized relic of the Robert Moses era, built with no regard for the neighborhoods that were divided by it. Even during rush hour, it goes virtually unused. The community created an alternative transportation plan that allows for the removal of the highway. We have the opportunity now to bring together all the stakeholders to re-envision how this 28 acres can be better utilized for parkland, affordable housing and local economic development.
Tunaendesha mradi unaoitwa Bronx Ecological Stewardship Training, ambayo inasaidia kufundisha kazi katika maeneo ya ecological restorations, ili watu wa kutoka kwenye jumuia yetu wawe na uwezo wa kushindania hizi kazi zinazolipa vizuri. Kidogo kidogo, tunapandikiza mbegu za mafanikio katika maeneo yetu kwa ajili ya kazi nzuri - halafu watu watakuwa na maamuzi ya kifedha na binafsi kuhusu mazingira yao. Sheridan Expressway ni .......... ilijengwa bila kuzingatia mazingira yaligawanywa nayo. Hata wakati wa msongamano, ni wazi kwamba haitumiki sana. Jumuia ilitengenza mpango wa mbadala wa usafiri ambao uliruhusu kuondolewa kwa njia kubwa. Tuna fursa sasa ya kuwaunganisha wadau wote katika kufikiria hizi ekari 28 zinaweza kutumikaje vizuri kwa ajili ya Parkland, nyumba za bei nafuu na maendeleo ya uchumi.
We also built New York City's first green and cool roof demonstration project on top of our offices. Cool roofs are highly-reflective surfaces that don't absorb solar heat, and pass it on to the building or atmosphere. Green roofs are soil and living plants. Both can be used instead of petroleum-based roofing materials that absorb heat, contribute to urban "heat island" effect and degrade under the sun, which we in turn breathe. Green roofs also retain up to 75 percent of rainfall, so they reduce a city's need to fund costly end-of-pipe solutions -- which, incidentally, are often located in environmental justice communities like mine. And they provide habitats for our little friends!
Pia tumejenga jiji - paa la kwanza la kijani la jiji la New York mradi wa majaribio juu ya ofisi zetu. Paa nzuri ambazo hazinyonyi joto la jua na kuipitsha kwenye jengo au hewa. Paa za kijani ni udongo na mimea hai. Zote zinaweza kutumika badala ya vifaa vya kuezekea vyenye petroli ambayo inanyonya joto, inachangia katika matokeo ya urban "heat island" na kuharibu chini ya jua, ambayo tunaivuta. Paa za kijani pia zinatunza asilimia 75 ya mvua, kwa hiyo inapunguza mahitaji ya jiji kudhamini suluhisho la mabomba - ambayo, mara nyingi yamewekwa katika jumuia zisizo na haki ya mazingira kama yangu. Na nyumba ya rafiki zetu wadogo! Kwa hiyo -- (kicheko) -- nzuri sana!
[Butterfly]
(Laughter)
So cool!
Hata hivyo, mradi wa mfano ni chanzo cha kuezeka paa zetu za kijani,
Anyway, the demonstration project is a springboard for our own green roof installation business, bringing jobs and sustainable economic activity to the South Bronx.
kuongeza ajira na maendeleo endelevu katika Bronx Kusini. (Kicheko). (Makofi). Hata mimi napenda hiyo pia.
[Green is the new black ...]
(Laughter) (Applause)
I like that, too.
Hata hivyo, najua Chris alituambia tusijinadi hapa juu,
Anyway, I know Chris told us not to do pitches up here, but since I have all of your attention: We need investors. End of pitch. It's better to ask for forgiveness than permission. Anyway --
lakini kwa kuwa mnanisikiliza: tunahitaji wawekezaji. Mwisho wa kujinadi. Ni afadhali kuomba msamaha kuliko ruhusa. Hata hivyo - (Kicheko). (Makofi).
(Laughter)
(Applause)
OK. Katrina. Kabla ya Katrina, Bronx Kusini na wadi ya tisa ya New Orleans
OK. Katrina.
Prior to Katrina, the South Bronx and New Orleans' Ninth Ward had a lot in common. Both were largely populated by poor people of color, both hotbeds of cultural innovation: think hip-hop and jazz. Both are waterfront communities that host both industries and residents in close proximity of one another. In the post-Katrina era, we have still more in common. We're at best ignored, and maligned and abused, at worst, by negligent regulatory agencies, pernicious zoning and lax governmental accountability. Neither the destruction of the Ninth Ward nor the South Bronx was inevitable. But we have emerged with valuable lessons about how to dig ourselves out. We are more than simply national symbols of urban blight or problems to be solved by empty campaign promises of presidents come and gone. Now will we let the Gulf Coast languish for a decade or two, like the South Bronx did? Or will we take proactive steps and learn from the homegrown resource of grassroots activists that have been born of desperation in communities like mine?
vina vitu vya kufanana. Yote ilikuwa na watu wengi wa jamii moja maskini, zote ni hotbeds za utamaduni ulioundwa: fikiria hip-hop na jazz. Zote ni jumuia za ufukweni ambazo zina viwanda wakaazi wanaokaa karibu karibu sana. Katika kipindi cha mpito cha Katrina, bado tuna vitu vya kufanana. Tunadharauliwa na kunyanyaswa sana, na negligent mashirika ya sheria, pernicious zoning and lax governmental accountability. Si uharibifu wa wadi ya tisa wala Bronx Kusini ulikuwa hauzuiliki. Lakini tumejifunza mengi jinsi ya kujinasua wenyewe. Tumekuwa zaidi ya nembo ya nchi ya bligh ya mjini. Au matatizo yatakayotatuliwa na ahadi za kampeni hewa za marais wanaokuja na waliopita. Sasa tutaacha pwani ya Gulf iteketee kwa muongo mmoja au miwili kama ilvyokuwa kwa Bronx Kusini? Au tutachukua hatua za ziada na kujifunza kutoka kwa wakereketwa ambao wametokana na jumuia yenye matatizo ka yangu? Sasa sikiliza, sitegemei mtu binafsi,
Now listen, I do not expect individuals, corporations or government to make the world a better place because it is right or moral. This presentation today only represents some of what I've been through. Like a tiny little bit. You've no clue. But I'll tell you later, if you want to know.
makampuni au serikali kuifanya dunia iwe mahali pazuri pa kuishi kwasababu ni sawa na sahihi. Hii presentation leo inaonyesha sehemu tuu ya mambo niliyopitia, sehemu ndogo tuu. Hujui. Lakini nitakuelezea baadae kama utapenda kujua.
(Laughter)
Lakini -- najua ni shina, au jinsi mtu aonavyo,
But -- I know it's the bottom line, or one's perception of it, that motivates people in the end. I'm interested in what I like to call the "triple bottom line" that sustainable development can produce. Developments that have the potential to create positive returns for all concerned: the developers, government and the community where these projects go up.
ndio kinachomchochea mtu mwishoni. Ninashauku na ninachopenda kuita "triple bottom line" ambayo maendleo endelevu yanaweza kuleta. Maendeleo ambayo yanaweza kuleta matokeo chanya kwa wahusika wote: waendelezaji, serikali na jumuia ambayo miradi hii inapelekwa. Kwa sasa hii haifanyiki katika jiji la New York.
At present, that's not happening in New York City. And we are operating with a comprehensive urban-planning deficit. A parade of government subsidies is going to propose big-box and stadium developments in the South Bronx, but there is scant coordination between city agencies on how to deal with the cumulative effects of increased traffic, pollution, solid waste and the impacts on open space. And their approaches to local economic and job development are so lame it's not even funny. Because on top of that, the world's richest sports team is replacing the House That Ruth Built by destroying two well-loved community parks. Now, we'll have even less than that stat I told you about earlier. And although less than 25 percent of South Bronx residents own cars, these projects include thousands of new parking spaces, yet zip in terms of mass public transit. Now, what's missing from the larger debate is a comprehensive cost-benefit analysis between not fixing an unhealthy, environmentally-challenged community, versus incorporating structural, sustainable changes. My agency is working closely with Columbia University and others to shine a light on these issues.
Na tunafanyakazi katika upungufu wa mipango miji madhubiti. Mlolongo wa ruzuku za serikali zinaenda kwenye miradi mikubwa iliyopendekezwa na ujenzi wa uwanja wa michezo katika Bronx Kusini, lakini kuna ushirikiano mdogo kati ya mashirika ya jiji na jinsi ya kabiliana na mkusanyiko wa matatizo ya foleni, uchafuzi wa hewa, uchafu na matokeo yake kwenye sehemu za wazi. Na mtazamo wao katika uchumi na kuendeleza ajira ni dhaifu sana hata si ya kuchekesha. Kwa sababu juu ya hilo, timu ya michezo tajiri sana duniani inachukua nafasi ya nyumba ambayo Ruth alijenga kwa kuvunja bustani mbili za jumuia za kupumzika ambazo zilipendwa sana. Sasa, tutakuwa na upungufu zaidi wa stat ambao niliwaelezea awali. Na ingawa chini ya asilimia 25 ya wakazi wa Bronx Kusini wana magari, miradi hii inajumuisha maelfu ya sehemu za kuegesha magari, bado fikiria kuhusu usafiri wa jiji Sasa, kipi kinakosekana kwenye mdahalo huu mkubwa ni mnyambulisho wa faida madhubuti kati ya na sio kurekebisha jumuia iliyo na mazingira yasiyo safi, dhidi ya majengo, mabadiliko endelevu. Shirika la ngu linafanya kazi kwa karibu sana na chuo kikuu cha Columbia na wengine ili kutoa mwanga kwa mabo haya.
Now let's get this straight: I am not anti-development. Ours is a city, not a wilderness preserve. And I've embraced my inner capitalist. And, but I don't have --
Sasa hebu tuweke hii sawa. Mimi sipingi maendeleo. Sehemu yetu ni jiji, na sio hifadhi ya mbuga. Na nimeukumbatia ubepari ulio ndani yangu. Na siajabu wote mnayo pia ndani yenu, na kama hamna, mnahitaji kuwa nayo.
(Laughter)
You probably all have, and if you haven't, you need to.
(Kicheko). Kwa hiyo sina tatizo na waendelezaji kutengeneza pesa.
(Laughter)
So I don't have a problem with developers making money. There's enough precedent out there to show that a sustainable, community-friendly development can still make a fortune. Fellow TEDsters Bill McDonough and Amory Lovins -- both heroes of mine by the way -- have shown that you can actually do that. I do have a problem with developments that hyper-exploit politically vulnerable communities for profit. That it continues is a shame upon us all, because we are all responsible for the future that we create. But one of the things I do to remind myself of greater possibilities, is to learn from visionaries in other cities. This is my version of globalization.
Kuna precedent ya kutosha huko kuonyesha kuwa maendeleo endelevu ya jumuia bado yanaweza kuleta utajiri. Wenzangu wa TEDsters Bill McDonough na Emery Lovins -- wote ni heros wangu - wameonyesha kuwa unaweza kufanya hivyo. Nina matatizo na maendeleo ambayo yanadidimiza jumuia zisizo na usemi kwa ajili ya faida. Hii ikiendelea ni aibu kwetu sote, kwasababu sote tunawajibika kwa maisha tunayoyatengeneza. Lakini kitu kimoja ninachofanya kujikumbusha juu ya uwezekano mkubwa ni kujifunza kutoka kwa wajuzi kwenye miji mingine. Haya ni maoni yangu juu ya utandawazi. Hebu tuiangalie Bogota. Masikini, Latino, imezungukwa na wahalifu wenye silaha
Let's take Bogota. Poor, Latino, surrounded by runaway gun violence and drug trafficking; a reputation not unlike that of the South Bronx. However, this city was blessed in the late 1990s with a highly-influential mayor named Enrique Peñalosa. He looked at the demographics. Few Bogotanos own cars, yet a huge portion of the city's resources was dedicated to serving them. If you're a mayor, you can do something about that. His administration narrowed key municipal thoroughfares from five lanes to three, outlawed parking on those streets, expanded pedestrian walkways and bike lanes, created public plazas, created one of the most efficient bus mass-transit systems in the entire world. For his brilliant efforts, he was nearly impeached. But as people began to see that they were being put first on issues reflecting their day-to-day lives, incredible things happened. People stopped littering. Crime rates dropped, because the streets were alive with people. His administration attacked several typical urban problems at one time, and on a third-world budget, at that. We have no excuse in this country, I'm sorry. But the bottom line is: their people-first agenda was not meant to penalize those who could actually afford cars, but rather, to provide opportunities for all Bogotanos to participate in the city's resurgence. That development should not come at the expense of the majority of the population is still considered a radical idea here in the U.S. But Bogota's example has the power to change that.
na uuzaji wa madawa ya kulevya: sifa si kama ile ya Bronx Kusini. Lakini, jiji lilibarikiwa mwishoni mwa miaka ya 1990 kwa kuwa na meya mwenye ushawishi aliyeitwa Enrique Penalosa. Aliangalia demographics. Wabogota wachaceh walikuwa na magari, lakini rasilimali kubwa ya jiji ilikuwa imetengwa kuwahudumia wao. Uwapo meya, waweza kufanya kitu fulani. Uongozi wake ulipunguza thoroughfares za manispaa kutoka njia tano mpaka tatu, ikapiga marufuku kupaki katika mitaa hiyo, ikapanua njia za watembea kwa miguu na barabara za waendesha baiskeli, ikatengeneza public plazas, ikatengeneza eficient buss mass-transit systems katika dunia nzima. Kwa juhudi zake nzuri, alikuwa karibu avuliwe madaraka. Lakini jinsi watu walivyoanza kuona kuwa wao wanapewa kipaumbele kwenye masuala mbalimbali yanayohusu shughuli zao za kila siku, mambo mazuri yakatokea. Watu waliacha kutupa taka ovyo. Uhalifu ulipungua. Kwasababu mitaa ilikuwa imejaa watu. Uongozi wake ulipigana na matatizo mbalimbali ya mijini moja baada ya jingine, na katika bajeti ya dunia ya tatu. Hatuna visingizio kwenye nchi hii. Samahani. Lakini cha muhimu ni, ajenda yao ya kuwaweka watu kwanza haikumaanisha kuwapiga faini wale wasio kuwa na uwezo wa kuwa na magari, bali kutoa fursa kwa wabogota kushiriki katika maendeleo ya jiji. Maendeleo hayo yasije kwa expense ya walio wengi hii bado inaonekana kama ni wazo zito sana hapa Marekani. Lakini mfano wa Bogota una nguvu ya kubadili hili.
You, however, are blessed with the gift of influence. That's why you're here and why you value the information we exchange. Use your influence in support of comprehensive, sustainable change everywhere. Don't just talk about it at TED. This is a nationwide policy agenda I'm trying to build, and as you all know, politics are personal. Help me make green the new black. Help me make sustainability sexy. Make it a part of your dinner and cocktail conversations. Help me fight for environmental and economic justice. Support investments with a triple-bottom-line return. Help me democratize sustainability by bringing everyone to the table, and insisting that comprehensive planning can be addressed everywhere. Oh good, glad I have a little more time!
Ninyi, mmebarikiwa na zawadi ya ushawishi. Hii si sababu kwanini mko hapa na kwanini mna thamini hizi habari tunazobadilishana. Tumieni utashi wenu kuunga mkonomabadiliko endelevu madhubiti kila mahali. Msiongelee tuu kuhusu haya kwenye TED. Hii ni agenda ya nchi nzima ninayojitahidi kuijenga, na kama mjuavyo, siasa ni kitu cha binafsi. Nisaidieni kufanya kijani iwe nyeusi mpya. Nisaidieni kufanya uendelevu uwe wa kuvutia. Fanyeni yawe mazungumzo yenu wakati wa chakula cha usiku na wakati wa sherehe. Nisaidieni kupigania haki ya mazingira na uchumi. Ungeni mkono uwekezaji wenye kulerta faida mara tatu. Nisaidieni kuleta demekrasia katika uendelevu kwa kuhusisha kila mtu katika hili na kusisitiza mpango madhubuti unaweza kuongelewa kila mahali. Oh vizuri, afadhali nina muda kidogo!
Listen -- when I spoke to Mr. Gore the other day after breakfast, I asked him how environmental justice activists were going to be included in his new marketing strategy. His response was a grant program. I don't think he understood that I wasn't asking for funding. I was making him an offer.
Sikiliza - nilipoongea na Bw. Gore juzi baada ya kifungua kinywa, nilimuuliza wakereketwa wa haki za mazingira watawekwa wapi katika mkakati wake mpya. Jibu lake lilikuwa ni programu ya misaada. Sidhani kama alielewa kuwa nilikuwa siombi msaada. Nilikuwa nampa ofa. (makofi).
(Applause)
What troubled me was that this top-down approach is still around. Now, don't get me wrong, we need money.
Kilichonisumbua ni kwamba huu mtazamo wa juu-chini bado upo. Sasa, msinielewe vibaya, tunahitaji pesa. (kicheko).
(Laughter)
But grassroots groups are needed at the table during the decision-making process. Of the 90 percent of the energy that Mr. Gore reminded us that we waste every day, don't add wasting our energy, intelligence and hard-earned experience to that count.
Lakini vikundi vya grassroots vinahitajika wakati wa kufanya maamuzi. Kati ya asilimia 90 ya nguvu tunazopoteza kila siku ambayo Bw. Gore alitukumbusha, hajumuishi kupoteza nguvu zetu, akili na ujuzi wetu mkubwa. (makofi).
(Applause)
Nimetoka mbali kukutana nanyi kama hivi.
I have come from so far to meet you like this. Please don't waste me. By working together, we can become one of those small, rapidly-growing groups of individuals who actually have the audacity and courage to believe that we actually can change the world. We might have come to this conference from very, very different stations in life, but believe me, we all share one incredibly powerful thing. We have nothing to lose and everything to gain.
Tafadhali msinipoteze. Kwa kufanya kazi pamoja, tunaweza kuwa moja ya vikundi vidogo vinavyokuwa haraka ambao wana ujasiri na ushujaa wa kuamini kuwa tunaweza kubadili dunia hii. Tumekuja kwenye kongamano hili kutoka kwenye sehemu tofauti za maisha, lakini naamini, wote tunashirikiana kwa kitu kimoja kikubwa -- hatuna cha kupoteza na tunaweza kupata kila kitu. Kwaheri Wapendwa! (Makofi)
Ciao, bellos!
(Applause)