There are a lot of ways the people around us can help improve our lives. We don't bump into every neighbor, so a lot of wisdom never gets passed on, though we do share the same public spaces.
Kuna njia nyingi ambazo watu wanaotuzunguka wanaweza kuboresha maisha yetu Hatuonani na jirani zetu kwa hiyo maarifa mengi yanashindwa kusambaa pamoja na kwamba wote tunashiriki sehemu zile zile za jamii yote
So over the past few years, I've tried ways to share more with my neighbors in public space, using simple tools like stickers, stencils and chalk. And these projects came from questions I had, like: How much are my neighbors paying for their apartments?
Kwa hiyo miaka michache iliyopita, nimejaribu kutafuta njia za kushirikiana zaidi na majirani zangu katika maeneo ya jamii yote Kwa kutumia vifaa rahisi kama stika ,karatasi nyembamba na chaki Mipango hii ilitokana na maswali niliyokuwa nayo kama Ni kiasi gani majirani zangu wanalipa kwa ajili ya nyumba zao?
(Laughter)
(Vicheko) Je ni jinsi gani tunaweza kuazimishana vitu vingi zaidi
How can we lend and borrow more things, without knocking on each other's doors at a bad time? How can we share more memories of our abandoned buildings, and gain a better understanding of our landscape? How can we share more of our hopes for our vacant storefronts, so our communities can reflect our needs and dreams today?
bila kugonga katika milango wakati usio mzuri? Je tunawezaje kushirikishana kumbukumbu zetu zaidi za majengo yetu yaliyotelekezwa na kuyaelewa zaidi mazingira yetu Ni vipi tunaweza kushirikishana matumaini yetu zaidi. kuhusu maduka yasiyo na watu, ili jamii zetu ziendane na mahitahi yetu na ndoto zetu?
Now, I live in New Orleans, and I am in love with New Orleans. My soul is always soothed by the giant live oak trees, shading lovers, drunks and dreamers for hundreds of years, and I trust a city that always makes way for music. I feel like every time someone sneezes, New Orleans has a parade.
Sasa naishi New Orleans, Ninaipenda New Orleans Nafsi yangu inaburudishwa na miti mikubwa ya mwalo inayowafunika wapenzi,walevi na watu wanaowaza mambo makubwa kwa mamia ya miaka, na nauamini mji ambao wakati wote una njia kwa ajili ya muziki Nahisi kama kila wakati ambapo mtu atakuwa anakoroma,
(Laughter)
New Orleans kuna gwaride.(Vicheko)
The city has some of the most beautiful architecture in the world, but it also has one of the highest amounts of abandoned properties in America.
Mji huu una baadhi ya majengo ambayo ni mazuri sana katika dunia,lakini pia una namba kubwa ya majengo yaliyotelekezwa katika nchi ya Marekani
I live near this house, and I thought about how I could make it a nicer space for my neighborhood, and I also thought about something that changed my life forever.
Ninaishi karibu na nyumba hii, na nilifikiri ni jinsi gani ninavyoweza kuifanya kuwa sehemu nzuri kwa ajili mtaa wangu, na pia niliwaza kuhusu kitu kingine
In 2009, I lost someone I loved very much. Her name was Joan, and she was a mother to me. And her death was sudden and unexpected. And I thought about death a lot. And ... this made me feel deep gratitude for the time I've had. And ... brought clarity to the things that are meaningful to my life now. But I struggle to maintain this perspective in my daily life. I feel like it's easy to get caught up in the day-to-day, and forget what really matters to you.
ambacho kilibadilisha maisha yangu milele Mwaka 2009,nilifiwa na mtu ambaye nilimpenda sana, Jina lake ni Joan,na alikuwa ni mama yangu Kifo chake kilikuwa cha ghafla bila kutarajiwa Niliwaza sana kuhusu kifo na hii ilinifanya nijae moyo wa shukrani kwa muda nilio nao na ilinisaidia kuangalia vizuri vitu vyenye maana katika maisha yangu kwa sasa. Lakini napata shida kudumu katika hali hii katika maisha yangu ya kila siku. Nahisi ni rahisi kusongwa na matukio ya kila siku, na kusahau mambo ya maana hasa kwako.
So with help from old and new friends, I turned the side of this abandoned house into a giant chalkboard, and stenciled it with a fill-in-the-blank sentence: "Before I die, I want to ..." So anyone walking by can pick up a piece of chalk, reflect on their life, and share their personal aspirations in public space.
Kwa hiyo kwa msaada wa marafiki wa zamani na wapya, Niligeuza upande wa nyumba hii iliyotelekezwa na kuwa ubao mkubwa sanana kuuwekea karatasi nyembamba na sentensi ambayo ilitakiwa ijazwe ikisema "Kabla sijafa,nataka Kwa hiyo kila aliyepita aangeweza kuchukua chaki, kutafakari maisha yake,na kutoa mawazo yake katika eneo la wazi
I didn't know what to expect from this experiment, but by the next day, the wall was entirely filled out, and it kept growing. And I'd like to share a few things that people wrote on this wall.
sikujua niwaze nini kuhusu jaribio hili lakini mpaka siku iliyofuata, ukuta wote ulijaa na uliendelea kukua. na ningependa nitawashirikisha vitu vichache
"Before I die, I want to be tried for piracy."
ambavyo watu waliandika katika ubao huu.
(Laughter)
"Kabla ya kufa,ningependa nishitakiwe kwa uharamia."(Vicheko)
"Before I die, I want to straddle the International Dateline."
."Kabla ya kufa,nataka kusafiri kuufuata mstari wa kimataifa wa tarehe"
"Before I die, I want to sing for millions."
"Kabla ya kufa,nataka niimbe kwa ajili ya mamilioni."
"Before I die, I want to plant a tree."
"Kabla ya kufa,nataka nipande mti."
"Before I die, I want to live off the grid."
"Kabla ya kufa,nataka niishe bila kutegemea umeme."
"Before I die, I want to hold her one more time."
"Kabla ya kufa,nataka nimkumbatie tena kwa mara nyingine."
"Before I die, I want to be someone's cavalry."
"Kabla ya kufa,nataka niwe askari wa farasi."
"Before I die, I want to be completely myself."
"Kabla ya kufa,nataka kuwa peke yangu."
So this neglected space became a constructive one, and people's hopes and dreams made me laugh out loud, tear up, and they consoled me during my own tough times. It's about knowing you're not alone; it's about understanding our neighbors in new and enlightening ways; it's about making space for reflection and contemplation, and remembering what really matters most to us as we grow and change.
Kwa hiyo sehemu hii iliyotelekezwa ikageuka kuwa sehememu ya matengenezo, matumaini na maono ya watu ilinifanya nicheke, nilie na kwa njia hii walinifariji katika wakati wangu mgumu. Ni kwa ajili ya kujua kuwa hauko peke yako. Ni kwa ajili ya majirani zetu kwa njia mpya na za kupendeza ni kwa aajili ya kuwa na nafasi ya kutafakari na kuwaza yale unayoyapenda kuwa nayo na kukumbuka ni nini hasa ambacho ni cha muhimu kwa wengi wetu kadiri tunavyokua na kubadilika
I made this last year, and started receiving hundreds of messages from passionate people who wanted to make a wall with their community. So, my civic center colleagues and I made a tool kit, and now walls have been made in countries around the world, including Kazakhstan, South Africa, Australia, Argentina, and beyond. Together, we've shown how powerful our public spaces can be if we're given the opportunity to have a voice, and share more with one another.
nilifanya hivi mwaka jana, na nikaanza kupokea mamia ya jumbe kutoka kwa watu ambao walitaka kutengeneza mbao na kuta kama hii katika jamii zao, kwa hiyo washirika wangu na mimi tukatengeneza boksi la vifaa vinavyohitajika kwa ajili ya kazi hii na kwa sasa kuta kama hii zimetengenezwa sehemu mbalimbali duniani, Ikiwemo Kazakhstan, Afrika ya Kusini, Australia, Argentina na zaidi ya hapo Pamoja,tumeonyesha jinsi sehemu za wazi zinavyoweza kuwa na uwezo mkubwa kama tutapewa nafasi ya kuongea na kushirikishana.
Two of the most valuable things we have are time, and our relationships with other people. In our age of increasing distractions, it's more important than ever to find ways to maintain perspective, and remember that life is brief and tender. Death is something that we're often discouraged to talk about, or even think about, but I've realized that preparing for death is one of the most empowering things you can do. Thinking about death clarifies your life.
Vitu vya thamani zaidi tulivyo navyo ni muda na mahusiano yetu na watu wengine Katika wakati huu ambao kuna mambo mengi ya kututoa katika mambo muhimu, Ni muhimu sana kutafuta njia za kudumu katika mambo muhimu na kukumbuka kuwa maisha ni mafupi na mepesi Mara nyingi tunavunjwa moyo kuongelea kuhusu kifo au kuwaza kuhusu kifo,lakini nimetambua kuwa kujiandaa na kifo ni moja kati ya vitu vya kukujenga sana kufikiri kuhusu kifo , kunayafafanua maisha yako.
Our shared spaces can better reflect what matters to us, as individuals and as a community, and with more ways to share our hopes, fears and stories, the people around us can not only help us make better places, they can help us lead better lives.
Maeneo ya wazi na jamii yote yanaweza yakaonyesha ni kitu gani muhimu kwetu kwa mtu mmoja mmoja na kama jamii, na tukiwa na njia nyingi za kushirikishana matumaini, hofu na hadithi zetu, watu wanaotuzunguka sio tu wanaweza kutusaidia kufanya maeneo haya kuwa mazuri, lakini wakaishi vizuri pia.
Thank you.
Asante.(Makofi)
(Applause)
(Makofi)
Thank you.
Asante.(Makofi)
(Applause)
(Makofi)