Everything is interconnected. As a Shinnecock Indian, I was raised to know this. We are a small fishing tribe situated on the southeastern tip of Long Island near the town of Southampton in New York.
KIla kitu kinahusiana na kingine Kama muhindi, nilikuzwa kujua hili Sisi ni kabila dogo la wavuvi Katika ncha ya kusini mashariki mwa kisiwa cha Long karibu na mji wa Southampton katika jiji la New York.
When I was a little girl, my grandfather took me to sit outside in the sun on a hot summer day. There were no clouds in the sky. And after a while I began to perspire. And he pointed up to the sky, and he said, "Look, do you see that? That's part of you up there. That's your water that helps to make the cloud that becomes the rain that feeds the plants that feeds the animals."
Nilipokuwa msichana mdogo, Babu yangu alinichukua kukaa naye juani katika wakati wa majira ya joto. Hakukuwa na mawingu angani. na baada ya muda mfupi nikaanza kutoka jasho. na akanionyesha angani na kusema, "Angalia,unaona kile? Ile ni sehemu yako kule juu. Yale ni maji yako yanayosaidia kutengeneza mawingu yanayokuwa mvua inayonywesha mimea ambayo inalisha wanyama."
In my continued exploration of subjects in nature that have the ability to illustrate the interconnection of all life, I started storm chasing in 2008 after my daughter said, "Mom, you should do that."
katika utafiti wangu wa mambo haya ambayo yanaonyesha uhusiano katika maisha, Nilianza kukimbiza vimbunga mwaka 2008 baada ya binti yangu kusema, " Mama, ni lazima ufanye hivyo."
And so three days later, driving very fast, I found myself stalking a single type of giant cloud called the super cell, capable of producing grapefruit-size hail and spectacular tornadoes, although only two percent actually do. These clouds can grow so big, up to 50 miles wide and reach up to 65,000 feet into the atmosphere. They can grow so big, blocking all daylight, making it very dark and ominous standing under them.
siku tatu baadaye,nikiendesha gari kwa kasi sana, nikajikuta nafuatilia aina moja ya wingu kubwa sana, lenye uwezo wa kutengeneza mvua ua mawe kubwa na vimbunga vya ajabu, ingawa ni asilimia mbili tu hufanya hivyo. mawingu haya yanaweza kuwa makubwa sana, mpaka maili 50 kwa upana na yanaweza yakaenda mpaka futi 65,000 juu angani. yanaweza yakawa makubwa sana kiasi cha kuzuia mwanga wa mchana, kufanya ukisimama chini yake kuwa peusi sana.
Storm chasing is a very tactile experience. There's a warm, moist wind blowing at your back and the smell of the earth, the wheat, the grass, the charged particles. And then there are the colors in the clouds of hail forming, the greens and the turquoise blues. I've learned to respect the lightning. My hair used to be straight.
Kukimbiza vimbunga ni kitu chenye mguso wa kipekee. unakuta kuna upepo mnyevu wa joto unaopuliza mgongoni kwako haufu ya mchanga,ngano na majani. halafu pia kuna rangi mbalimbali katika mawingu ya mvua ya mawe, ya kijani na bluu. nimejifunza kuiheshimu radi. Nywele zangu zilikuwa hazijajikunja ziko moja kwa moja.
(Laughter)
(vicheko)
I'm just kidding.
ninatania.
(Laughter)
(vicheko)
What really excites me about these storms is their movement, the way they swirl and spin and undulate, with their lava lamp-like mammatus clouds. They become lovely monsters.
kinachonifurahisha mimi kuhusu vimbunga hivi ni jinsi vinavyotembea,vinavyozunguka, na mawingu yenye vitu kama miale ya moto. yanakuwa ni madude yanayotisha huku yakipendeza pia.
When I'm photographing them, I cannot help but remember my grandfather's lesson. As I stand under them, I see not just a cloud, but understand that what I have the privilege to witness is the same forces, the same process in a small-scale version that helped to create our galaxy, our solar system, our sun and even this very planet.
ninapoyapiga picha, nashindwa kujizuia kukumbuka mafundisho ya babu yangu. na ninasimama chini yake, naona sio tu wingu, lakini na kuelewa pia nina bahati ya kushuhudia nguvu zile zile ,mchakato ule ule, katika hali ndogo ambavyo vilitengeneza anga letu,mfumo wa jua,jua letu na hata sayari hii.
All my relations. Thank you.
na mahusiano yote yangu. Asante sana.
(Applause)
(Shangwe)